Msanii Timbulo anae tamba kwa kibao chake cha "Domo Langu" kilicho toka mwaka huu, ni copy Ya kibao cha Msanii Pit Baccardi wa Cameroun kinacho itwa "Yelele" aki mshirikisha msanii mwenzake X.Maleya kilichoachiwa mwaka 2010
Na Hiyo apo Chini ndo Nyimbo ya msanii Timbulo
YOU BE THE JUDGE
2011-10-07
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
WACAMEROON NDO WAME SAMPLE FROM TZ(TIMBULO) KUTOKANA NA RELEASE DATE ZA NYIMBO HIZO HONGERA TIMBULO KWANI WEWE NDO BASEMENT YA TRUCK.
ReplyDeleteHapana iyo track ya wa cameroon imetoka mwaka 2010...
ReplyDelete