2011-10-18

FILAMU KUBWA YA CPU KUZINDULIWA RASMI 24/11/2011 KATIKA SINEMA.

                                 Dar es salaam, October 18, 2011
                                 Imetayarishwa na Haakneel Production
                                 wakishirikiana na Wegos Works
                                 Kuandikwa na Novatus Mugurusi

Mratibu wa filamu Hiyo Bw, Envans Bukuku amesema Filamu hiyo inalenga kuburudisha na kuelimisha jamii kwa ujumla. Ikiwa imechezwa hapa Dar es salaam katika maeneo tofauti tofauti ya Jiji kuleta uhalisia zaidi. Filamu ya CPU ni Mwanzo wa mapinduzi makubwa ya kihistoria katika tasnia ya filamu hapa Tanzania na Afrika. Ikiwa imetengenezwa kwa ubora wa hali ya juu katika picha, sauti uigizaji kiujumla kila kilichofanyika ndani ya CPU kimefanywa ka umakini sana. Mpaka sasa tunaweza kusema CPU ni miongoni mwa Filamu chache sana zilizoweza kutengenezwa kwa ubora wa hali ya juu hapa Afrika.

Sauda Simba muusika mkuu katika filamu ya CPU akifafanua jambo




0 comments:

Post a Comment